Posts

DARASA LA UFUGAJI WA KUKU LINAANZA

 Karibu kwa ujuzi wa ufugaji wa kuku🐔  Karibu group la wasap ufugaji

POLISI SASA NI KONDA

Image
SOMA UTAJIFUNZA KITU KIKUBWA SANAA,. MAISHA ni mapambano. Kuna kupanda na kushuka na Waswahili wana usemi unaosema ‘Kesho yako anaijua Mungu’. Usemi huu unathibitishwa na Farahana Mwanjonde (40), ambaye alikuwa askari polisi na sasa ni utingo wa daladala. Nilivutiwa na muonekano wake na uchangamfu wake, hasa pale anapopishana na trafiki barabarani, ambapo huwa wanamchangamkia. Siku niliyomhoji Farahana alinieleza kuwa aliwahi kuwa polisi na kwamba anapitia changamoto nyingi katika maisha. Lakini, ukimuangalia tabasamu lake,

TANGAZA NAMI

KARIBU KWA MATANGAZO MBALIMBALI

UFUGAJI BORA WA MBUZI NA KONDOO

Image
Mbuzi na kondoo ni wanyama ambao wanaweza kufugwa kwa gharama nafuu pia ni wavumilivu wa ukame na maradhi tofauti na ngo’mbe kwa kua wana umbile dogo wanaweza kufugwa katika eneo dogo na nguvu kazi ndogo na hata kwa wenye kipato kidogo.Kuzaa(uzao) kwa muda mfupi kuna mwezesha mfugaji kuwa na mifugo mingi kwa muda mfupi

NAMNA YA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI

A.KWA NINI KUKU WA KIENYEJI? 1. Wastahimilivu wa magonjwa lakini ni muhimu wakikingwa na magonjwa ya kuku kama mdonde, ndui ya kuku n.k ili kuweza kuwaendeleza. 2. Wana uwezo wa kujitafutia chakula ardhini. 3. Wana uwezo wa kuatamia mayai, kutotoa na kulea vifaranga na ustahimilivu wa mazingira magumu kama ukame, baridi n.k 4.Nyama na mayai yake vina ladha nzuri

UFUGAJI WA NGURUWE

Image
Utunzaji wa nguruwe mara nyingi hutegemea aina ya nguruwe, njia na aina ya ufugaji. Kwa mfano nguruwe jike anayefugwa kwa ajili ya kuzaa anahitaji kutunzwa tofauti na wale wanaonenepeshwa kwa ajili ya nyama. Kadhalika nguruwe wanaweza kufugwa ndani ya banda au nje, kutegemea na ukubwa wa shamba, fedha zilizopo kwa shughuli za ufugaji na aina ya nguruwe. Utunzaji wa Nguruwe Dume Achaguliwe dume mwenye sifa bora ikiwa ni pamoja

SIFA ZA MABANDA YA KUFUGIA KUKU

Image
Banda la kuku Katika ufugaji wa kuku itakiwa kuwa na ubunifu wa banda la ufugiaji kuku ili kuboresha uzalishaji wa kuku bora wenye afya nzuri na wasiweze kushambuliwa na magonjwa mbalimbali kwa mazingira ya mabanda yakiwa ayana ubora ni  tatizo. Kuna watu wameweka fikra za ufugaji lakini awazii banda la kuwaweka kuku linatakiwa likizi vitu gan ili aweze kufuga.        SIFA ZA BANDA ZURI LA KUKU:     kuwe na hewa yakutosha kwenye ilo banda.

NJIA ZA UFUGAJI WA KUKU

     Mwandishi:Samwel mlawa Kuna usemi flani unatumiwa na watu wengi sana. unasema; “kazi ndio msingi wa maendeleo ya mtu yeyote” . Hata mimi nakubaliana na usemi huu kwani ni kweli kabisa kazi ndio msingi wa hatua yoyote ya maendeleo ya mtu yeyote chini ya msingi mkuu ambao ni Mungu. Kinyume chake, asiyefanya kazi (ya kuajiriwa/kujiajiri) basi atabaki kuwa maskini na mtu wa shida ya kipato, mahusiano mabaya na wanadamu wenzako, kuwa tegemezi nk. Kwa kuwa tunatamani sana kutoka katika kongwa hili la umasikini wa kipato na hali mbaya ya maisha, tunalazimika kufanya jukumu letu kuu la kumuomba sana Mungu ili atuwezeshe kujua na kufahamu mbinu mbalimbali kisha kujifunza na kufahamu kwa makini tena kwa njia rahisi mno za kututoa katika hali hii ya umaskini uliokithiri. Ikumbukwe kwamba, kujifunza kwa msisimko tu bila ya kuyaingiza mambo hayo uliyojifunza katika mazoezi na vitendo vya makusudi maishani mwetu ni wazi kwamba hayatatusaidia, bali yatabaki vichwani mwetu...

YANGA HII MTAIKOMA

Image
 

NI MPAMBANO ALIKIBA VS DIAMOND

Image
  Kwa ufupi Wasanii hao wanapambana katika tuzo saba, ingawa Diamond anaonekana kuwa na nafasi zaidi ya kumuacha Ali Kiba kutokana na kutajwa kwenye tuzo 10 na hivyo kuwa na nafasi ya kufikia tena rekodi yake ya kuzoa tuzo nyingi kama mwaka jana.

MZIMU WA NYERERE WAWATESA WAGOMBEA WA URAIS 2015

Image
Kwa ufupi Makada hao pia wamezuru kaburi la Baba wa Taifa na wengine kutumia kuaminiwa kwake na wananchi wakati akiwa na umri mdogo ili kujenga hoja kuwa uzoefu na umri si suala la kuzingatiwa katika kupata kiongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano.

MAYAI YA KWALE KAMA KIKOMBE CHA BABU

Image
B ado nchi yetu ni kama haina viongozi kabisa kuna hili jambo limeibuka la mayai ya kwale kutibu magonjwa sugu, Bila kuthibitishwa na wataalamu na Serikali ipo likizo trey ya mayai ya kwale ni tsh.15,000 hadi tsh. 20,000, wagonjwa wanapewa dozi ya mayai mabichi kwa kuchanganya na asali wengine wanaambiwa wachemshe wale kiini chake! sasa ukwel upo wapi? Karibuni wanaJamiiForums kwa mjadala wa kitaalam zaidi na kwa wazoefu waliotumia mayai haya na kupona. Miaka ya hivi karibuni kulikuwa na gumzo kubwa hapa nchini na hata nje ya nchi juu ya tiba ya kimaajabu maarufu kama

JE WATAKA KUJUA NAMI NAKUJUZA NANI NI NANI URAISI PROFESA IBRAHIM LIPUMBA

Image
  Kwa ufupi Alipata elimu ya msingi mkoani Tabora mwaka 1959 katika Shule ya Wamisionari wa Sweden waliokuwa Tanzania wakati huo, shule hiyo iliitwa “Swedish Free Mission Primary School”, alimaliza mwaka 1962 na akasoma Shule ya Kati (Middle School) mwaka 1962 – 1966 kabla ya kusoma kidato cha kwanza hadi cha nne katika Shule ya Sekondari Tabora mwaka 1967 – 1972 kisha akaelekea mkoani Dar es Salaam na kusoma kidato cha tano na sita katika Shule Sekondari ya Pugu kati ya mwaka 1971-1972...

AFISA WA FIFA AKIRI ALIPOKEA RUSHWA...

Image
Chuck Blazer Wizara ya Sheria ya Marekani imechapisha taarifa inayoelezea jinsi Afisa wa zamani wa FIFA Chuck Blazer alivyokiri kuwa yeye pamoja na wenzake walipokea rushwa ikiwa ni pamoja kuichagua Afrika Kusini kuwa mwenyeji wa fainali ya kombe la dunia mwaka 2010. Katika taarifa hiyo imeweka wazi mtandao wa malipo ya rushwa ulivyokuwa ukifanywa ndani ya shirikisho la soka duniani FIFA, taarifa

PENZI LISILO ISHA 4

Jafet, kijana mdogo ambaye amehitimu darasa la saba na kufaulu vizuri kuendelea na masomo ya sekondari, anajikuta akikwama kuendelea na shule kutokana na ufukara wa kupindukia wa wazazi wake. Hali hiyo inamuumiza sana hasa anapoona wenzake wameanza kwenda shule, muda wote anashinda akiwa analia na kujiinamia kwa huzuni. Mama yake aliyekuwa akijishughulisha na kazi ya kufanya vibarua vya kupalilia mashamba ya mihogo ili apate chakula cha yeye na familia yake, naye anaumizwa sana na hali aliyokuwa nayo mwanaye. Baada ya kumlalamikia na kumlilia sana, mwanamke huyo maskini anaamua kumsaidia mwanaye. Kama miujiza, anapata habari za mapadri waliokuwa wanasaidia kuwasomesha watoto waliofaulu kutoka kwenye familia za kimaskini. Hatimaye ndoto ya Jafet ya kuendelea na masomo iliyokuwa imefifia, inang’ara upya baada ya mapadri kukubali kumsomesha. Anapelekwa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Mtakatifu Paulo iliyopo Kwimb...

PENZI LISILOISHA 3

Jafet, kijana mdogo ambaye alikuwa amehitimu darasa la saba na kufaulu vizuri kuendelea na masomo ya sekondari, anajikuta akikwama kuendelea na shule kutokana na ufukara wa kupindukia wa wazazi wake. Hali hiyo inamuumiza sana Jafet hasa anapoona wenzake wameanza kwenda shule, muda wote anashinda akiwa analia na kujiinamia kwa huzuni. Mama yake aliyekuwa akijishughulisha na kazi ya kufanya vibarua vya kupalilia mashamba ya mihogo ili apate chakula cha yeye na familia yake, naye anaumizwa sana na hali aliyokuwa nayo mwanaye. Baada ya kumlalamikia na kumlilia sana, mwanamke huyo maskini anaamua kumsaidia mwanaye. Kama miujiza, anapata habari za mapadri waliokuwa wanasaidia kuwasomesha watoto waliofaulu kutoka kwenye familia za kimaskini. Hatimaye ndoto ya Jafet ya kuendelea na masomo iliyokuwa imefifia, inang’ara upya baada ya mapadri kukubali kumsomesha. Anapelekwa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Mtakatifu Paulo iliyopo Kwimba, Mwanza anakoyaanza masomo. Siku zinason...

WEMA KUJIACHIA NA LUIS?(Mahaba ni uwe}

Image
Musa Mateja LIVE! The Big Boss wa Kampuni ya Endless Fame Productions, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amejikuta akionesha mahaba niue kwa ‘kujibebisha’ kwa Mshiriki wa Big Brother Africa ‘Hotshots’ 2014 kutoka nchini Namibia, Luis Manana huku akimmwagia sifa nyingi na kudai ndiye laazizi wa moyo wake kwa sasa baada ya kuachana na mwanamuziki

DOWNLOAD NEW VIDEO;DIAMOND PLATINUM FT MR FLAVOUR.

Image
                                               samwelmlawa.blogspot.com

MOURINHO NA HAZARD NDIO BORA EPL

Image
Mourinho Mkufunzi wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho ametangazwa kuwa mkufunzi bora katika ligi ya Uingereza kwa mara ya tatu. Akihudumia kipindi chake cha pili katika kilabu hiyo rais huyo wa Ureno mwenye umri wa miaka 52 aliiongoza Chelsea kubeba taji lao la kwanza la ligi ya Uingereza katika kipindi cha miaka mitano pamoja na  kombe la Ligi

PENZI LISILOISHA 2

Kijana mdogo, Jafet ambaye alikuwa amehitimu darasa la saba na kufaulu vizuri kuendelea na masomo ya sekondari, anajikuta akikwama kuendelea na masomo kutokana na ufukara wa kupindukia wa wazazi wake. Hali hiyo inamuumiza sana Jafet hasa anapoona wenzake wameanza kwenda shule, muda wote anashinda akiwa analia na kujiinamia kwa huzuni. Mama yake aliyekuwa akijishughulisha na kazi ya kufanya vibarua vya kupalilia mashamba ya mihogo ili apate chakula cha yeye na familia yake, naye anaumizwa sana na hali aliyokuwa nayo mwanaye. Baada ya kumlalamikia na kumlilia sana, mwanamke huyo maskini anaamua kumsaidia mwanaye. Kwa bahati nzuri, anakutana na shoga yake waliyekuwa wakifanya naye vibarua ambaye anamuelekeza kwenda kwenye ofisi za mapadri wa Kijiji cha Rwamgasa, Geita ambako anakutana na padri mzungu, Brocco Giovanni anayeahidi kumsaidia. Anamuagiza kwenda kumleta mtoto huyo ili azungumze naye na kumpa masharti yaliyokuwa yanatakiwa.Je, nini kitafuatia? Usiku huo ulikuw...