Posts

Showing posts from May 21, 2014

KIJANA SAMWEL VET ANATOA ELIMU JUU YAA UJASILIAMALI WA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI

Image
Kijana vet samwel mlawa vijana inatupasa na kuwa moyo kuthubutu ili kutimiza ndoto zetu tuache uoga tutumie fulsa na vipawa tulivyo navyo ,Kujiajili inawezekana .ujasiliamali ndo habari ya mjini vijana tuamke kujishughulisha . kwa wale watakao hitaji ushauri namna ya ufagaji wa kuku wa kienyeji  mawasiliano  samwelmlawa@ymail.com iskakanews@gmail.com na pia namna ya kuweza kutolesha vifaranga vya kienyeji vingi kwa wakati mmoja na namana ya kuvileya bila mama yao,Na pia naweza nkakushauri jinsi gani unaweza ukatumia kuku wa kienyeji kuwa ni mradi wa kuingiza kipato.Kwa tamaduni za tanzania tumekuwa tunasema sina chakufanya kama kijana tumia fulsa hii usiwe tegemezi.

ADAM KUAMBIANA AZIKWA NA MASWALI MAGUMU 5

Image
Stori: Waandishi Wetu ADAM  Philip Kuambiana amezikwa jana kwenye Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam huku akiacha maswali magumu matano kuhusu maisha, mazingira na hatimaye kifo chake, Risasi Mchanganyiko linakupa moja kwa moja.

HATIMAYE ZOEZI LA KUMSAKA CHATU JIJINI MBEYA LAANZA KUFANIKIWA BAADA YA KUKAMATWA KWA CHATU MDOGO

Image
SIKU chache baada ya wakazi wa Jiji la Mbeya kupewa tahadhari     juu ya uwepo wa nyoka mkubwa aina ya Chatu katika maeneo ya Rift Valley pembezoni mwa mto Meta uliopo jijini hapa juhudi za kumsaka zaanza kuzaa matunda.   Juhudi za kumsaka Chatu huyo zilianza juzi kwa ushirikiano wa Wataalamu wa Wanyamapori pamoja na waganga wa jadi ambao walikuwa wakimsaka pembezoni mwa mto huo.