MASHAIRI YA ONE DA INCREDIBLE YAKO HAPA
VERSE 1 Hii ni news kwa ma – rap star/ Kwenye mdundo mi ni bao, nateleza na nina ujuzi wa kunata/ Utunzi bado culture, na – peruz kurasa/ Mwenyeji vituo vyote kama mluzi wa kondakta/ Uhh.. Beat ya Den texas/ Nchi ya verse, tenzi hazihesabiki hata kwa census/ Sense sick, spit ka` na – desease kwa senses/ New era muzik, Old rapper hit the benches/ Nawakilisha illmatix toka enzi/ Ikiwekwa beat kati tunagawa kama chenji/ Peace kwa J ryde, Bano Stylez enzi, Toka tunafanya freestyle kwa ringtone za dre beats/ Tenzi za roho kutoka kwa rap dayosis/ Niko sick, sitibiki kwa anti-biotics/ Maaba...