NEYMAR ASAJILIWA NA BARCELONA
Neymar asajaliwa na Barcelona Klabu ya Barcelona, imekubali kumsajili mshambuliaji matata kutoka Brazil Neymar kutoka kwa klabu ya Santos. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21, anatarajia kukamilisha uasajili huo siku ya Jumatatu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Barcelona, vilabu hivyo viwili vimeafikiana kuhusu usajili wa mchezaji huyo. Barcelona imemtaja mshambuliaji huyo kama mchezaji ambaye ana uwezo wa kuwa