TRANSFER DEADLINE LIVE: TETESI NA HABARI ZOTE ZA USAJILI KATIKA SIKU YA MWISHO YA USAJILI
Leo September 2 ya mwisho ya dirisha la usajili barani ulaya - vilabu kadhaa vimekuwa busy katika siku hii kuhakikisha wanaimarisha timu zao . Mtandao huu utakuwa unakuletea taarifa zo te zinazohusiana na usajili barani ulaya. Ungana nasi................. TAARIFA ZOTE ZINAZOHUSI ANA NA USAJILI BARANI ULAYA Manchester United na Everton wameendelea kubisha na juu ya ada ya uhamisho wa Leighton Baines - taarifa zilitoka hivi sasa zinasema kwamba Toffes wameikataa ofa ya £15m na wame waamb ia United ni kiasi cha £20million ndicho kitawafanya wafanye baishara ya mchezaji huyo. Yakiwa yamebaki masaa 6 kabla ya dirisha la usajili kufungwa vyombo vya habari vikubwa vya Sp ain, Marca na AS vimeripoti kwamba Man Unite d wamekubali kulipa kiasi cha £30.5 kw ajili ya Ander Herrera na kiungo huyo anatarajiwa kusaini mkataba wa mia ka 5 leo hii. Wakati kukiwa hakuna taarifa zaidi kuhusu usajili wa Ozil, imefahamika Arsenal wanajiandaa kuongea na PS...