Posts

Showing posts from November 8, 2013

Love your lover without any reasons.

Image
Why do you love your lover? Do you have any reasons for that? Have you ever asked that question from yourself? Do you have an answer for that? Perhaps, you may say she is beautiful or she is very kind or her voice is so sweet, her body is amazing, or he is very hot, his eyes are so pretty or he loves me so much…etc. so…it means you love them because of a reason or bunch of reasons?
Image
                                         samwelmlawa.blogspot.com

JUMA KASEJA ATUA RASMI YANGA KWA MIL 40

Image
  Juma Kaseja baada ya kusaini mkataba wa kuichezea Yanga. Kipa Juma Kaseja amesaini mkataba wa kuichezea Yanga rasmi, mkataba huo umesainiwa leo Ijumaa na ataanza kuitumikia timu hiyo katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Kaseja amesaini kwa dau la Sh milioni 40.

PENNY AKUBALI KUSHEA PENZI NA WEMA

Image
Wema Sepetu 'Madam 'na Peniela Mwingilwa ‘Penny’. Kumekuwa na habari zisizo shaka kwamba Diamond na Wema wamerejesha uhusiano wao na hivi karibuni walitupia picha katika mitandao ya kijamii zilizowaonyesha wawili hao wakiwa katika mapozi ya kimahaba huko Ughaibuni. Ingawa bado Diamond anatoka na Penny, lakini kwa siku za karibuni amekuwa karibu zaidi na mrembo huyo aliyetwaa taji la Miss Tanzania mwaka

MITUSI MTANDAONI YAMPA UCHIZI SHILOLE

Image
Zuwena Mohammed 'Shilole'. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Shilole alisema amesikitishwa sana na kutukanwa na kuonesha kuwa amepata uchizi na kudai kuwa atamshitaki Wema kwani ndiye anayeweza kuwazuia wapambe wake waache kumshambulia. Wema akizungumzia ishu hiyo alisema, anamshangaa Shilole kwani wanaomtukana wala hawajui na kama ana mpango wa kumshitaki atapoteza muda wake bure.

'Siachi siasa hadi nipate dola milioni 1'

Image
Victoria Hammah amekuwa akisema amekuwa na shinikizo la kuiba pesa za umma Naibu waziri wa mawasiliano nchini Ghana Victoria Hammah ameachishwa kazi baada ya kunukuliwa akisema kuwa atasalia katika siasa hadi atakapo pata fedha kiasi cha dola milioni moja. Anaonekana katika kanda ya video akisema kuwa ukiwa na pesa unaweza kuwashawishi watu. Bi Hammah bado hajatoa tamko lolote kuhusiana na mkanda huo wa video au hatua ya kufutwa kazi.

Kocha wa Wales kujadili Mkataba wake leo

Image
Kocha wa Wales Chris Coleman Kocha wa timu ya soka ya Wales Chris Coleman atakutana na maafisa wa chama cha soka cha Wales hii leo kujadili kuhusu mkataba mpya. Coleman ambaye mkataba wake unamalizika baada ya mchezo kati ya Wales na Finland tarehe 16 mwezi Novemba, ameelezwa kupigiwa pande kuziba nafasi iliyo wazi kwenye timu ya Crystal Palace

Azam FC ya Tanzania yamtimua kocha

Image
Stewart Hall kocha wa Azam FC Huku ligi kuu soka Tanzania Bara ikiwa imekamilisha mzunguko wake wa kwanza hii leo,timu ya Azam FC ya Dar es Salaam imetangaza kusitisha mkataba na kocha wake mkuu Stewart Hall wa Uingereza kwa kile kilichoelezwa kama makubaliano ya pamoja. Kwa Mujibu wa taarifa iliyotolewa kwenye mtandao wa klabu hiyo jijini Dar es Salaam, hii itakuwa ni mara ya pili kwa kocha huyo kuachana na klabu ya Azam na ameafikiana na uongozi wa klabu hiyo baada ya kukamilisha mzunguko wa kwanza wa ligi hiyo ambapo

Arsenal,Chelsea, Barca shwari Uefa

Image
Aaron Ramsey kulia akishangilia bao na Santi Cazorla Timu za Arsenal na Chelsea za England zimejiweka katika mazingira mazuri ya kufuzu kucheza kumi na sita bora kuwania kombe la Uefa. Bao pekee la Aaron Ramsey lilitosha kuipa Arsenal pointi tatu muhimu dhidi ya Borussia Dortmund ya Ujerumani na hivyo kujikusanyia pointi 9 katika kundi lake F na hivyo kuongoza wakiwa sawa na timu ya Napoli ya Italia.