FAHAMU MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA UPENDO UKAPUNGUA KWA MPENZI WAKO
1. UGOMVI WA KILA SIKU Kwenye Ulimwengu Wa Mapenzi Hakuna Kitu Kibaya Kama Kutoweka Kwa Amani Kaa Ukijua Mapenzi Ni Matamu Na Yanaraha Iliyoambatana Na Furaha Hakuna Mtu Anaependa Kuishi Bila Ya Kuwa Na Furaha Hivyo Ikitokea Katika Mahusiano Wapenzi Hawapatani Na Kila Mmoja Wao Hataki Kukubali Kosa Wote Wanajiona Wapo Sahihi Halafu Mwisho Wa Siku Wanapatana Ghafla Bila Kuombana Msamaha Ni Wazi Kabisa Kosa Bado Litakuwa