Straika wa Manchester City, Sergio Aguero akiifungia timu yake bao la kwanza. Pablo Zabaleta akishangilia bao la tatu aliloifungia Man City kwa staili ya kuweka mpira tumboni ikiwa ni ishara ya ujauzito wa mkewe Christel. Didier Drogba akishangilia bao lake aliloifungia Chelsea.