Posts

Showing posts from September 18, 2013

KEYNOTE ADDRESS BY HON. Dr.SHUKURU JUMANNE KAWAMBWA(MP), THE MINISTER FOR EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING ON THE OCCASION OF THE FOURTH GRADUATION CEREMONY AT ST.JOSEPH COLLEGE OF INFORMATI TECHNOLOGY (SJUIT), SONGEA ON 9TH SEPTEMBER 2013.

KEYNOTE ADDRESS BY HON. Dr.SHUKURU JUMANNE KAWAMBWA(MP) | Rev. Fr. Dr.J.E. Arul Raj, Founder and Chancellor of St. Joseph Univerisity in Tanzania, SJUIT; Rt.Rev.John Chrisostom Ndimbo, Bishop of Mbinga; Hon. Said Thabiti Mwambungu, Regional Commissioner of Ruvuma; Dr.T.X.A. Ananth, President of the University Council, SJUIT Members of the St. Joseph University Council and Senate; Members of College Advisory Board, St. Joseph College of Information Technology, SJCIT; Sisters, Staff and Students, Parents herepresent; Distinguished invited guests; The media; ladies and gentlemen; Rev. Chancellor, It is an honor for me to join the Rev. Chancellor, graduands and parents to celebrate this very special day for all graduating students and for the University. Seeing the graduates here this morning is a proud moment for many of us in different ways. It is a happy occasion for the graduates because they are being rewarded for the completion of their ...

UCHAGUZI WA KIDATO CHA TANO 2013 AWAMU YA PILI KWA WANAFUNZI WALIOHITIMU KIDATO CHA NNE MWAKA 2012

UCHAGUZI WA KIDATO CHA TANO 2013 AWAMU YA PILI KWA WANAFUNZI WALIOHITIMU KIDATO CHA NNE MWAKA 2012 Ifuatayo ni orodha ya wanafunzi 1171 wakiwemo wavulana 884 na wasichana 287 waliochachaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano mwaka 2013 awamu ya pili. Wanafunzi hawa wanatakiwa kuripoti kwenye shule walizo pangwa mara baada ya kuona majina yao kwenye mtandao. Wahakikishe kwamba wanaenda na vyeti vya matokeo yao (result slip) na cheti cha kuhitimu Kidato cha Nne (Leaving Certificate).

MOYES:ROONEY ANAWEZA KUWA BINGWA

Image
Rooney alirejea uwanjani baada ya jeraha alilopata kichwani na sasa anasema yuko katika hali nzuri Mkufunzi wa klabu ya Manchester United, David Moyes, amemwambia mchezaji Wayne Rooney kuwa anaweza kuwa mchezaji mzuri zaidi kuwahi kuchezea klabu hiyo na kumtaka asalie Old Trafford wakati wa kipindi cha uhamisho...