Posts

Showing posts from July 16, 2013

tazama video ya Ben Pol - JIKUBALI 2013

DUDE KUIGIZA KAMA YAHAYA KATIKA VIDEO MPYA YA LADY JAYDEE

Image
Msanii wa bongo movie anajulikana kwa jina la DUDE yeye ndie atakayecheza pati ya YAHAYA katika video mpya ya mwanadada LADY JAYDEE. Video hii imeanza kushutiwa leo(jana) jioni, kaa tayari kwa kumuona Dude akiwa kama Yahaya .najinsi alivyo weza kucheza kipengele icho ameweza kuonyesha kipaji chake kwa kumpa lady jaydee kampani katika kuuaanda video ya yahaya ambayo audio yake ina wika ivi mtaani na vyombo mbalimbali...  

BAADA YA MAN UNITED KUPELEKA OFA BARCA - FABREGAS ASEMA ANATAKA KUENDELEA KUBAKI CAMP NOU

Image
Siku chache baada ya kumkosa Thiago Alcantara inaonekana sasa Manchester United ipo njiani kumkosa mchezaji mwingine kutoka FC Barcelona , Cesc Fabregas. Hii inakuja baada ya kocha wa klabu hiyo  Tito Vilanova kusema kwamba ameongea na kiungo huyo wa Sp ain na ameambia na mchezaji huyo kwamba anahitaji kuendelea kubaki Camp Nou. Jana jumatatu iliripotiwa kwamba United walituma ofa ya kwanza ya kiasi cha £25.9 million  kwa ajili ya kumsajili Fabregas, ambaye amefeli kupata nafasi katika kikosi cha kwanza tangu aliporudi akitokea Arsenal . Lakini akiongea na waan dishi wa habari leo mchana, Vilanova amesema wazi kwamba Fabregas bado anataka kubaki kwenye klabu yake hiyo ya utotoni, na hana mawazo ya kuondoka kwa sasa .  "Nina fahamu kwamba tumepokea ofa kadhaa kutoka kwa vilabu tofauti. Niliongea na Cesc na ameniambia kwamba anataka kubaki. "Cesc hana mawazo ya kuondoka kwenda klabu nyingine. Anajua ushindani ni mku bwa hapa na ana ndoto za kuendelea kuwa hapa n