Posts

Showing posts from November 29, 2013

OKWI DOUBFUL FOR RWANDA OPENER

Image
By Kenneth Muwanga in Nairobi CRANES are likely to negotiate their CECAFA Challenge Cup opening fixture against Rwanda without lead striker Emmanuel Okwi. The SC Villa forward is still battling with malaria. Okwi who trained with the rest of the team on Thursday at the Nairobi City Stadium felt unwell after the team returned to their hotel at Milele.

Wimbo wa STAMINA ft. CRISS WAMARYA “Mngekuwepo” umetolewa kimakosa bila ruhusa ya Stamina

Image
Wimbo wa Stamina Ft Criss Wamarya unaoitwa Mngekuwepo umetoka kimakosa, jana wimbo huu uliwekwa hapa katika website hii mda huu nimetoka kupigiwa simu na Stamina na kuniambia huu wimbo

Tanzania hold ChipolopoloPublish

Image
Kim Poulsens Tanzania could only draw with Zambia in their opening encounter. Photo by Mpalanyi Ssentongo newvision By Reuben Olita in Machakos Result Tanzania 1 Zambia 1 TANZANIA'S Kilimanjaro Stars held Chipolopolo of Zambia to a 1-1 draw in the second Group B match of the G0tv CECAFA Senior Challenge Cup at Kenyatta Stadium in Machakos on Thursday.

KOCHA MSAIDIZI WA ZAMANI WA ASERNAL PAT RICE AGUNDULIKA NA

Image
Kocha msaidizi wa zamani wa Asenal, Pat Rice Mchezaji wa zamani wa timu ya Ireland kaskazini na mlinzi wa zamani wa Arsenal Pat Rice amefikishwa hospitalini baada ya kugundulika kuwa na ugonjwa wa Saratani. Rice mwenye umri wa miaka 64 aliichezea mara 528 timu ya washika Bunduki wa London pia aliwahi kuwa

Rais Kabila azuru mashariki mwa Congo

Image
                                          Rais Joseph Kabila wa DR Congo Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo,Joseph Kabila, anatembelea eneo la mashariki mwa Congo ambalo awali lilidhibitiwa na kikundi cha waasi wa M23, ambacho kilishindwa katika mapigano dhidi ya majeshi ya Congo yakisaidiwa na yale ya Umoja wa Mataifa, mwezi mmoja uliopita. Anatarajiwa kuwasili eneo la Rutshuru -- eneo ambalo lilikuwa ngome kuu ya waasi karibu na mpaka wa Uganda.