UEFA yaomba kusubiri
Wakuu wa soka barani Ulaya wameshindwa kuafikiana juu ya mjadala kuhusu kama fainali ya Kombe la Dunia ya mwaka 2022 iahirishwe kutoka majira ya joto hadi majira ya baridi nchini Qatar. Michel Platini Ingawa wanachama 54 wa UEFA hapo jana waliunga mkono mabadiliko yanayotishia kuvuriga ratiba ya msimu mzima wa soka barani Ulaya, chombo cha washauri wake wa sera kimekataa kukubali lolote kabla ya mashauriano ya kina na FIFA....