NIKKI WA PILI AFUNGUKA AJAWAHI KUMTUNGIA NYIMBO JOH MAKIN
Nickson Simon (Nikki wa Pili) baada ya kulonga na media Katika makundi ya Hip Hop yanayofanya vizuri kwa sasa ni wazi utalitaja kundi moja maarufu kutoka pande za Arusha, Weusi. Kundi hilo linaongozwa na vichwa vitano vikiwemo, Isaac Waziri Makuto ‘Lord Eyez’, Nickson Simon (Nikki wa Pili), George Sixtus Mdemu (G Nako), John Simon (Joh Makini) na Bonta. Jamaa wana ngoma nyingi ambazo zote zimeweza kushika chati ikiwa ni pamoja na ya