Man City yaongoza ligi kuu England
23:12 GMT Facebook Twitter Google+ Tuma kwa rafiki yako Chapisha Mshambulizi Sergio Aguero wa Man City Klabu ya Manchester City imechupa hadi kileleni mwa ligi kuu ya soka nchini England baana ya kuonesha soka safi dhidi ya klabu ya Tottenham katika uga wa White Hart Lane. Kikosi cha kocha Manuel Pellegrini kilihitaji ushindi dhidi ya Spurs ili kuwapiku Arsenal kwenye jedwali