Posts

Showing posts from October 14, 2013

Carlton Cole signs three-month contract with West Ham

Image
Carlton Cole: Has signed three-month contract with West Ham Striker Carlton Cole has returned to West Ham United, rejoining the club on a three-month contract. The 30-year-old striker initially left the club earlier this summer, and had held talks with a number of other teams. However, as no move materialised, Cole returned to train with the Hammers last month with a view to signing a deal - if he could prove his fitness. Now the former England international has returned to the club on a three-month deal, with a view to

NEW SONG OF JENNIFER BABY LOVE YOU NICE SONG

Image
samwelmlawa.blogspot.com

England v Poland: FA defends decision to sell 18,000 tickets to Polish fans

Image
FA happy with distribution of tickets for game against Poland England v Poland Football  The Football Association have defended their decision to sell 18,000 tickets to Polish supporters for Tuesday night's World Cup qualifier. Surprise has been expressed in some quarters that almost a quarter of the crowd will be made up of opposition fans for such a crucial game. But the FA maintain that by doubling the 9,000 allocation Poland are entitled to under FIFA rules they will prevent away fans from buying tickets in the home end. Scott Field, the FA's director of communications, told Sky Sports News: "The tickets

Ivory Coast yapiga hatua kwenda Brazil

Image
Didier Drogba Ushindi wa Ivory Coast dhidi ya Senegal umekuwa hatua muhimu ya kuelekea katika fainali za kombe la dunia. Mabao 3 yaliyofungwa na washambuliaji Didier Drogba, Gervinho na Salomon Kalou yametosha kuiongezea matumaini Ivory Coast ya kushiriki fanali za kombe la dunia mwaka ujao nchini Brazil. Goli la kufutia machozi upande wa Senegal lilifungwa kimiani na mshambuliaji wa NewCastle Papiss Demba Cisse. Mechi ya mkondo wa pili itachezwa mwezi ujao nchini Morocco kwa sababu Senegal inatumikia adhabu ya kutochezea kwenye uwanja wa nyumbani.

Mchezaji wa Nigeria ajeruhiwa Ethiopia

Image
Nosa Igiebor alijeruhiwa na jiwe mkononi Mchezaji soka wa Nigeria, Nosa Igiebor alijeruhiwa vibaya wakati timu yao iliposhambuliwa mjini Addis Ababa baada ya mchuano wao wa mchujo dhidi ya Ethiopia katika kutafuta nafasi ya kushirki kombe la dunia mwaka ujao nchini Brazil. Mchezaji huyo ambaye huchezea timu ya Real Betis alihitaji matibabu ya dharura mkononi mwake baada ya dirisha la basi walimokuwa kuvunjwa wakati timu hiyo ilipokua inaondoka kutika mji mkuu Addis Ababa.Alijeruhiwa kwa vigae vya glasi.

Mahakama yaamua kuhusu jina 'Allah'

Image
Waumini wa dini ya kiisilamu wakipinga matumizi ya jina Allah kwa kikristo Mahakama nchini Malaysia, imeamua kuwa watu wasio waisilamu wasitumie jina 'Allah' kumaanisha Mungu katika katika imani zao na kubatilisha uamuzi wa mahakama ndogo uliotolewa mwaka 2009. Mahakama ya rufaa ilisema kuwa jina Allah linapaswa tu kutumiwa na waumini wa kiisilamu la sivyo linaweza kuzua taharuki miongoni mwa jamii

Tuzo ya Mo Ibrahim yakosa mshindi tena

Image
Mo Wakfu wa Mo Ibrahim ambao humzawidi Rais mstaafu aliyeonyesha uongozi mzuri umesema hakuna kiongozi wa Afrika aliyetosha kutuzwa mwaka huu. Hata hivyo utafiti wa wakfu wa Mo umeonyesha kuwa Afrika imepiga hatua pakubwa tangu mwanzoni mwa karne hii katika maswala ya uongozi.