MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA YAFANYIKA MBEYA
Mkuu wa wilaya ya Chunya Deodatus Kinawiro mwenye suti ya bluu ambaye pia ni mwenyekiti wa wakuu wa wilaya za mkoa Mbeya ndiye aliongoza maadhimisho hayo akimwakilisha mkuu wa mkoa Abbas Kandoro kulia kwake mkuu wa wilaya ya Mbeya Norman Sigalla Mkuu wa wilaya ya Chunya Deodatus Kinawiro akiweka mkuki na ngao kuwakumbuka mashujaa waliokufa vitani Mwakilishi wa mstahiki meya wa jiji la mbeya akiweka shada lake Mzee Ernest Waya akiweka upinde na mshale kuwakumbuka wenzake aliokuanao vitani enzi hizo... Chifu Lyoto alikuwepo kuweka mshda kuwakumbuka mashujaa Viongozi mbali mbali wa dini waliwaombea duwa mashujaa wetu Mzee Ernest Paulo Waya aliyepigana vita kuu ya pili vya Dunia alikuwepo kuwakumbuka wenzake.katika kuwadhimisha walikufa katika vita ya dafuu.