MOURINHO NA HAZARD NDIO BORA EPL
Mkufunzi wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho ametangazwa kuwa mkufunzi bora katika ligi ya Uingereza kwa mara ya tatu.
Akihudumia
kipindi chake cha pili katika kilabu hiyo rais huyo wa Ureno mwenye
umri wa miaka 52 aliiongoza Chelsea kubeba taji lao la kwanza la ligi ya
Uingereza katika kipindi cha miaka mitano pamoja nakombe la Ligi
.
Kiungo wa kati wa Chelsea Eden Hazard ambaye aliifungia Chelsea mabao 20 alitangazwa kuwa mchezaji bora wa ligi ya Uingereza msimu huu.
Comments
Post a Comment