Nelson Mandela aaga dunia
Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela ameaga dunia. Mandela amefariki huko Johannesburg akiwa na umri wa miaka 95 na yeye ndiye aliongoza Afrika Kusini kutoka mikononi mwa watawala wa ubaguzi wa rangi baada ya kufungwa jela kwa miaka 27..