MAUZO YA OZIL: VILABU VITATU VYA UJERUMANI KUNUFAIKA NA €50 MILLIONI WALIZOLIPA ARSENAL
Klabu inayosh iriki ligi ya daraja la nne Rot-Weiss Essen ni moja ya vilabu vitatu vya Ujerumani ambavyo vinategeme a kunuf aika na mauzo ya Mesut Ozil kutoka Real Madrid kwenda Arsenal kwa ada ya uhamisho w a €50 million . Ozil alianza maisha yake ya soka katika klabu hiyo ya zaman i ya Bundesliga kabla ya kuhamia Schalke -- iliyopo katika vitongoji vya nyumbani huko Gelsenkirchen -- mnamo mwaka 2005 akiwa na miaka 16. Mwaka mmoja baadae , August 12, 2006, ali cheza mechi yake ya kwanza ya Bundesliga akiitumikia Schalke Royal Blues katika mechi ya sare ya 1-1 dhidi ya Eintracht Frankfurt. Baada ya kucheza mechi 30 akiwa na Schalke, Ozil alihamia Werder Bremen mwaka 2008, kabla ya kuhamia Madrid kwa ada ya u hamisho wa €18 million kufuatiwa kuonyesha kiwango kizuri katika michuano ya kombe la dunia . Vilabu vyote vitatu vya Ujerumani vitapata mgawo wa fedha za mauzo ya Ozil. Kwa mujibu wa kanuni ya FIFA, v ilabu vyote alivyochezea Ozil kutoka ali...