Posts
Showing posts from June 13, 2015
MAYAI YA KWALE KAMA KIKOMBE CHA BABU
- Get link
- X
- Other Apps
B ado nchi yetu ni kama haina viongozi kabisa kuna hili jambo limeibuka la mayai ya kwale kutibu magonjwa sugu, Bila kuthibitishwa na wataalamu na Serikali ipo likizo trey ya mayai ya kwale ni tsh.15,000 hadi tsh. 20,000, wagonjwa wanapewa dozi ya mayai mabichi kwa kuchanganya na asali wengine wanaambiwa wachemshe wale kiini chake! sasa ukwel upo wapi? Karibuni wanaJamiiForums kwa mjadala wa kitaalam zaidi na kwa wazoefu waliotumia mayai haya na kupona. Miaka ya hivi karibuni kulikuwa na gumzo kubwa hapa nchini na hata nje ya nchi juu ya tiba ya kimaajabu maarufu kama