JE WAJUA MBEGU MABOGA ZINA UWEZO WA KUKUEPUSHA NA MAGONJWA MBALIMBALI....
Mbegu za maboga Na.samwelmlawa ZIKIWA zimesheheni protini na madini kadhaa kama vile chuma, kopa, maginizia, manganizi na zinki, mbegu za maboga zinakuwa mbegu bora na muhimu kutafuna kila wakati kama wewe ni mpenzi wa kutafuna-tafuna. Imethibitika pasipo na shaka kuwa mbegu za maboga zina faida lukuki kiafya na zina uwezo wa kukuepusha na magonjwa hatari zaidi ya 10: