Posts

Showing posts from September 19, 2013

Mwombeki: Nikichezeshwa na Henry Joseph ni balaa

Image
  STRAIKA wa Simba, Betram Mwombeki ametamka kwamba kiungo Henry Joseph Shindika ni bonge la mchezaji na tangu aanze kuichezea Simba iwe kwenye ligi au mazoezi amegundua vitu vingi kwake...

Gazeti la AMANI laanika kila kitu kuhusu fumanizi la JOHARI kwa Ray na Chuchu Hans pamoja na ngumi zilivyopigwa

Image
Juzi  tuliandikia  habari  fupi  kuhusu  ugomvi  wa  Johari  na  Chuchu Hans  ambao  walikuwa wakigombania  penzi  la Ray.. Katika  habari  hiyo, tuliahidi  kuifuatilia  taarifa  hiyo  kwa  kina  zaidi. Bahati  nzuri  gazeti  la  AMANI  limemaliza  kila  kitu . Hii  ni  ripoti  yake. Waigizaji wenye majina makubwa Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ na Chuchu Hans wanadaiwa kuchapana kisa kikidaiwa kuwa ni penzi la mwigizaji ‘kaka mkubwa’, Vincent Kigosi ‘Ray’. ....

MCHAWI` MESSI AJIBU MAPIGO YA RONALDO, APIGA MATATU KATIKA USHINDI WA 4-0 NA AJAX, MILANI YAIFUMUA CELTIC 2-0, MUNTARI AUA!!

Image
AMEJIBU; Lionel Messi amejibu mapigo ya mpinzani wake, Cristiano Ronaldo wa Real Madrid baada ya kuifungia hat-trick Barcelona katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Ajax katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya, Uwanja wa Nou Camp. Muargentina huyo pamoja na kufunga mabao matatu peke yake usiku, pia alitengeneza bao la nne lililofungwa na Gerard Pique. Haikuwa bahati yao, Ajax kwani walikosa hadi penalti baada ya kipa Victor Valdes kuokoa mkwaju wa Kolbeinn Sigthorsson. Messi alifunga mabao yake katika dakika za 22, 55 na 75, wakati Pique alifunga dakika ya 69. Kikosi cha Barcelona kilikuwa: Valdes, Alves, Pique/Bartra dk80, Mascherano, Adriano, Busquets, Fabregas/Xavi dk72, Iniesta, Sanchez, Messi, Neymar /Pedro dk72. Ajax: Vermeer, van Rhijn, Denswil, Moisander/van der Hoorn dk73, Blind/Schone dk78, Poulsen, de Jong/Serero dk59, Duarte, Bojan, Sigthorsson na Boilesen. ...

DIVA AMTIBUA TENA ZITTO KABWE

Image
MTANGAZAJI wa Kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Loveness  Malinzi ‘Diva’ amesema alichokuwa anahitaji katika sakata lake la kudai ameibiwa ‘idea’ ya Kigoma All Star East Africa Tour na Mhe. Zitto Kabwe ni kupewa heshima yake (appreciation) tu...

SIMBA KILELENI KWA KUONGOZA LIGI KUU..

Image
-SHUJAA SIMBA NI MRUNDI TAMBWE, APIGA 4 MGUUNI! -MABINGWA YANGA WANASA TENA MBEYA!! -JUMAMOSI: AZAM FC v YANGA!!   LIGI KUU VODACOM, VPL, imeendelea tena na Simba leo imenguruma Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam kwa kuitandika Mgambo JKT Bao 6-0 na kukwea kileleni wakiwa Pointi 1 mbele ya waliokuwa Vinara Ruvu JKT ambao leo wamepigwa 1-0 na Ruvu Shooting. Mabingwa Watetezi Yanga leo tena wametoka Sare ya Bao 1-1 na Prisons huko Mbeya licha ya wao kutangulia kufunga katika Dakika ya 41 kwa Bao la Jerry Tegete lakini Prisons wakasawazisha katika Dakika ya 77 kupitia Peter Michael. MATOKEO: Septemba 18 Tanzania Prisons 1 Yanga 1 Simba 6 Mgambo JKT 0 Kagera Sugar 1 JKT Oljoro 1 Azam FC 1 Ashanti United 1 Coastal Union 1 Rhino Rangers 1 Mtibwa Sugar 0 Mbeya City 0 Ruvu Shootings 1 JKT Ruvu 0...

EUROPA LIGI: MECHI ZA MAKUNDI KUANZA ALHAMISI

Image
ALHAMISI Usiku Septemba 19, EUROPA LIGI inaanza Mechi zake za Makundi ambapo zipo Jumla ya Timu 48 zilizopangwa katika Makundi 12 ya Timu 4 kila moja yatakayocheza Mechi kwa mtindo wa Ligi za Nyumbani na Ugenini        MAKUNDI:......

CHELSEA YAPIGWA KWAO STAMFORD BRIDGE!!

Image
  >MESSI APIGA HETITRIKI, BARCA 4 AJAX 0!! >DORTMUND YALALA!! MAKUNDI E hadi H ya UEFA CHAMPIONZ LIGI, UCL, Usiku huu wamecheza Mechi zao za kwanza kwa Chelsea kubondwa kwao Stamford Bridge na Supastaa Lionel Messi kupiga hetitriki na kuipa ushindi Barcelona huku Borussia Dortmund, Timu iliyofika Fainali ya UCL Msimu uliopita, kuchapwa Ugenini. PATA ZAIDI:

MOURINHO VICHAPO, MAN UNITED NA NYIMBO, WENGER NA BUTwAA KWA RAMSEY!!

Image
  KLABU Vigogo huko England, Mabingwa Manchester United, Chelsea na Arsenal, hivi sasa zinapitia kwenye nyakati tofauti huku Stamford Bridge ikikaribisha vichapo mfululizo, Old Trafford wakibuni mbinu mpya za kuhamasisha ushindi kwa kutenga Jukwaa maalum la Waimbaji na huko Emirates Meneja Arsene Wenger amshangaa Mchezaji wake Aaaron Ramsey....