Posts

Showing posts from June 5, 2015

JE WATAKA KUJUA NAMI NAKUJUZA NANI NI NANI URAISI PROFESA IBRAHIM LIPUMBA

Image
  Kwa ufupi Alipata elimu ya msingi mkoani Tabora mwaka 1959 katika Shule ya Wamisionari wa Sweden waliokuwa Tanzania wakati huo, shule hiyo iliitwa “Swedish Free Mission Primary School”, alimaliza mwaka 1962 na akasoma Shule ya Kati (Middle School) mwaka 1962 – 1966 kabla ya kusoma kidato cha kwanza hadi cha nne katika Shule ya Sekondari Tabora mwaka 1967 – 1972 kisha akaelekea mkoani Dar es Salaam na kusoma kidato cha tano na sita katika Shule Sekondari ya Pugu kati ya mwaka 1971-1972...