MCHAWI` MESSI AJIBU MAPIGO YA RONALDO, APIGA MATATU KATIKA USHINDI WA 4-0 NA AJAX, MILANI YAIFUMUA CELTIC 2-0, MUNTARI AUA!!

AMEJIBU; Lionel Messi amejibu mapigo ya mpinzani wake, Cristiano Ronaldo wa Real Madrid baada ya kuifungia hat-trick Barcelona katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Ajax katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya, Uwanja wa Nou Camp.
Muargentina huyo pamoja na kufunga mabao matatu peke yake usiku, pia alitengeneza bao la nne lililofungwa na Gerard Pique.
Haikuwa bahati yao, Ajax kwani walikosa hadi penalti baada ya kipa Victor Valdes kuokoa mkwaju wa Kolbeinn Sigthorsson.
Messi alifunga mabao yake katika dakika za 22, 55 na 75, wakati Pique alifunga dakika ya 69.
Kikosi cha Barcelona kilikuwa: Valdes, Alves, Pique/Bartra dk80, Mascherano, Adriano, Busquets, Fabregas/Xavi dk72, Iniesta, Sanchez, Messi, Neymar /Pedro dk72.
Ajax: Vermeer, van Rhijn, Denswil, Moisander/van der Hoorn dk73, Blind/Schone dk78, Poulsen, de Jong/Serero dk59, Duarte, Bojan, Sigthorsson na Boilesen.
Precision: Messi bends in a long-range free-kick for his first goal of the evening ...
Mkwaju: Messi alifunga bao la kwanza kwa shuti la mbali la mpira wa adhabu
Number two: Messi slots his second goal past the helpless Vermeer 
La pili: Messi akifunga bao lake la pili
Easy: Messi dribbles past defender Stefano Denswil 
Kiulaini: Messi akimtoka beki Stefano Denswil
All smiles: Messi celebrates his opener with defener Dani AlvesTabasamu: Messi akishangilia na beki wake, Dani Alves
Battle: Sergio Busquets shields the ball from Ajax's Siem de Jong (left) and Lerin Duarte 
Sergio Busquets akidhibiti mpira katikati ya wachezaji wa Ajax, Siem de Jong (kushoto) na Lerin Duarte
Wasted opportunity: Kolbeinn Sigthorsson takes an unsuccessful penalty against Victor ValdesAnakosa: Kolbeinn Sigthorsson alikosa penalti iliyochezwa na kipa Victor Valdes
Challenge: Alexis Sanchez tackles Ajax's Daley Blind at the Camp Nou
Alexis Sanchez akimvaa Daley Blind wa Ajax Uwanja wa the Camp Nou
Tussle: Barcelona defender Adriano attempts to block Ajax's Ricardo van RhijnBeki wa Barcelona, Adriano akimdhibiti Ricardo van Rhijn wa Ajax
Heads up: Pique rises highest to score Barcelona's third goalPique akienda hewani kuifungia Barcelona bao la tatu
On form: Barca celebrate three points at the Camp Nou
Wako vizuri: Barca wakishangilia ushindi wao Camp Nou

Katika mchezo mwingine wa kundi hilo, AC Milan iliichapa Celtic 2-0 Uwanja wa San Siro, mabao ya Zapata dakika ya 82 na Muntari dakika ya 85.
Kikosi cha AC Milan kilikuwa: Abbiati, Zaccardo, Zapata, Mexes, Constant/Robinho dk76, Nocerino, De Jong, Muntari, Birsa/Emanuelson dk64, Matri/Poli dk87 na Balotelli.
Celtic: Forster, Lustig, Van Dijk, Ambrose, Izaguirre, Matthews/Boerrigter dk75, Brown, Mulgrew/Biton dk89, Samaras, Commons/Pukki dk77 na Stokes.Christian Zapata
Christian Zapata akitimka kushangilia baada ya kuifungia bao la kwanza AC Milan dhidi ya Celtic
Sulley MuntariMwafrika hatari: Sulley Muntari wa Milan akishangilia baada ya kufunga bao la pili zikiwa zimebaki dakika tano
Cristian ZapataPhillipe Mexes akimrukia Cristian Zapata baada ya Mcolombia kufunga
Charlie MulgrewUkuta mgumu: Wachezaji wa AC Milan wakiwa wameweka ukutawakati beki wa kati wa Celtic, Charlie Mulgrew akipiga mpira wa adhabu

Comments

Popular posts from this blog

TUMIA SMS HIZI KUBORESHA PENZI LENU

FAIDA TISA ZA MBEGU ZA MABOGA KATIKA MWILI WA BINADAMU

NINI MAANA YA MAPENZI