DIVA AMTIBUA TENA ZITTO KABWE


MTANGAZAJI wa Kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Loveness  Malinzi ‘Diva’ amesema alichokuwa anahitaji katika sakata lake la kudai ameibiwa ‘idea’ ya Kigoma All Star East Africa Tour na Mhe. Zitto Kabwe ni kupewa heshima yake (appreciation) tu...

Katika maelezo yake, Diva amefunguka kuwa walijadili na Zitto kuhusu idea hiyo lakini badala yake akashangaa mheshimiwa anampotezea katika utekelezaji kitu ambacho anadai siyo haki..
 

“Angalau basi angenitaja kama kunishukuru kwa kutoa mchango wangu katika Kigoma All Star Tour lakini hakufanya hivyo na hata nilipomsisitiza aliniletea siasa,” alisema Diva.

Comments

Popular posts from this blog

TUMIA SMS HIZI KUBORESHA PENZI LENU

FAIDA TISA ZA MBEGU ZA MABOGA KATIKA MWILI WA BINADAMU

NINI MAANA YA MAPENZI