Posts

ROSE MHANDO: NILITEKWA KWA BASTOLA NIKAPELEKWA PORINI KUFANYA MAPENZI

Image
Stori: Erick Evarist na Imelda Mtema NYOTA wa Nyimbo za Injili Bongo, Rose Mhando (pichani)amefungukia eneo fupi la maisha yake magumu ambapo alisema

MAN CITY, CHELSEA, ARSENAL ZAFANYA KWELI EPL

Image
Straika wa Manchester City, Sergio Aguero akiifungia timu yake bao la kwanza. Pablo Zabaleta akishangilia bao la tatu aliloifungia Man City kwa staili ya kuweka mpira tumboni ikiwa ni ishara ya ujauzito wa mkewe Christel. Didier Drogba akishangilia bao lake aliloifungia Chelsea.

PLAY GIRL 1 FUATILIA KISA HIKI

"...Jamani mi sijui utaratibu wa  hapa., naomba mnirudishie tu  huo mkoba wangu.."  Nikiwa bado naendelea  kulalamika pale uwanja wa  ndege, mara akatokea mkaka  mmoja mweupe aliyevalia sare za  hawa wafanyakazi wa ndege..  "..embu niambie tatizo nini dada  mbona unalalamika.."  "..Leo ndio mara yangu ya  kwanza kupanda ndege na wakati  natoka Mwanza hawakunizuia  hivi, lakini nashangaa nimefika  hapa Dar eti wamezuia mkoba  wangu wanadai kuwa  hawaruhusu kusafiri na vipodozi  kwenye ndege.. Ni haki kweli  jamani..?"  "..dada unaitwa nani..?"

MPENZI WAKO NDIYE ADUI WAKO...

Image
MPENZI WAKO NDIYE ADUI YAKO IMEANDIKWA NA MLAWA,S.S MAPENZI Kila binadamu hupenda jambo fulani. Mapenzi ya mtu juu ya jambo yaweza kumvutia kiasi kwamba anaweza kupoteza welekeo wa maisha yake. Watu hupenda hadi kileleni. Hapa ndipo mtu aelewi hili wala lile. Hali hii si tu kwa vijana wanaoingia katika umri wa balehe bali hata kwa wale waliovuka umri huu. Kweli kila mtu anahaki ya kupenda. Na mapenzi haya yalianza pale binadamu walipoanza kuishi pamoja kama mke na mume kama vitabu vyetu vya dini vinavyoelekeza, ambavyo ni Biblia na Kuruhani.

JE WAJUA MADHARA YA KUPENDA KUPITA KIASI

ATHARI ZA KUPENDA KUPITA KIASI Ni vyema kujua mpenzi wako anakupenda kiasi gani. Na kila mtu ni siri yake mwenyewe kujua anampenda mwenzi wake kwa kiasi gani. Kumpenda mke au mme au mchumba wako ni jambo jema sana. Muonyesheshe namna upendavyo kwa maneno, pamoja na tabia yako.

NINI MAANA YA MAPENZI

MAPENZI Kila binadamu hupenda jambo fulani. Mapenzi ya mtu juu ya jambo yaweza kumvutia kiasi kwamba anaweza kupoteza welekeo wa maisha yake. Watu hupenda hadi kileleni. Hapa ndipo mtu aelewi hili wala lile. Hali hii si tu kwa vijana wanaoingia katika umri wa

VIDEO:IZZO BUSINESS WALALA HOI WAWEZA DOWNLOAD

Image
                                                 izzo business video ya walala hoi