MAN CITY, CHELSEA, ARSENAL ZAFANYA KWELI EPL

Straika wa Manchester City, Sergio Aguero akiifungia timu yake bao la kwanza.
Pablo Zabaleta akishangilia bao la tatu aliloifungia Man City kwa staili ya kuweka mpira tumboni ikiwa ni ishara ya ujauzito wa mkewe Christel.
Didier Drogba akishangilia bao lake aliloifungia Chelsea.

Erik Lamela wa Tottenham akiwatoka wachezaji wa Chelsea Oscar na Cesc Fabregas wakati wa mechi hiyo.
Alexis Sanchez (wa pili kulia) akishangilia na wachezaji wenzake wa Arsenal baada ya kufunga bao lao pekee dhidi ya Southampton.
Alexis Sanchez kazini.
TIMU za Manchester City, Chelsea na Arsenal, usiku wa kuamkia leo zimefanya kweli katika michezo yao ya Ligi Kuu ya England kwa kuibuka na ushindi.
Matokeo hayo yalikuwa hivi: Arsenal 1-0 Southampton, Chelsea 3-0 Tottenham, Everton 1-1 Hull City, Sunderland 1-4 Man City!
Mabao ya Manchester City yaliwekwa kimiani na Aguero 21, 71; Jovetic 39; Zabaleta 55 huku la Sunderland likifungwa na Wickham 19.
Bao pekee la Arsenal lilifungwa na  Alexis Sanchez.
Mabao ya Chelsea yalifungwa na Hazard 19, Drogba 22, Remy 73.
Baada ya mechi hizo, msimamo wa ligi hiyo upo hivi:

Comments

Popular posts from this blog

TUMIA SMS HIZI KUBORESHA PENZI LENU

NINI MAANA YA MAPENZI

FAIDA TISA ZA MBEGU ZA MABOGA KATIKA MWILI WA BINADAMU