CHELSE YATOKA SALE
Chelsea
imeendeleza uongozi wake katika ligi kuu ya Uingereza baada ya kupata
sare ya 1-1 dhidi ya Southampton katika mechi ya msisimuko mkubwa
iliochezwa katika uwanja wa darajani.
Diego Costa aliipatia
Chelsea uongozi kupitia kichwa kizuri kabla ya Dusan Tasic kusawazisha
kupitia mkwaju wa penalti baada ya Nemanja Matic kumchezea visivyo Sadio
Mane katika lango la Chelsea.- Saa 9 zilizopita
Comments
Post a Comment