KESI YA PONDA YAAHIRISHWA MPAKA SEPTEMBA 22
KESI inayomkabili Shehe Ponda, iliyokuwa inasikilizwa katika Mahakama Kuu, jijini Dar es Salaam, imeahirishwa tena baada ya mawakili wa pande zote mbili kutakiwa kupeleka hoja zao za utetezi kwa maandishi.
Kesi hiyo itatajwa tena tarehe 22 Septemba mwaka huu.
Comments
Post a Comment