KIJANA SAMWEL VET ANATOA ELIMU JUU YAA UJASILIAMALI WA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI
Kijana vet samwel mlawa
vijana inatupasa na kuwa moyo kuthubutu ili kutimiza ndoto zetu tuache uoga tutumie fulsa na vipawa tulivyo navyo ,Kujiajili inawezekana .ujasiliamali ndo habari ya mjini vijana tuamke kujishughulisha .
kwa wale watakao hitaji ushauri namna ya ufagaji wa kuku wa kienyeji mawasiliano samwelmlawa@ymail.com
na pia namna ya kuweza kutolesha vifaranga vya kienyeji vingi kwa wakati mmoja na namana ya kuvileya bila mama yao,Na pia naweza nkakushauri jinsi gani unaweza ukatumia kuku wa kienyeji kuwa ni mradi wa kuingiza kipato.Kwa tamaduni za tanzania tumekuwa tunasema sina chakufanya kama kijana tumia fulsa hii usiwe tegemezi.
Comments
Post a Comment