KENNETH KIDAGO WA EAST AFRICA RADIO AFARIKI DUNIA
Marehemu Kenneth Kidago Lyanga enzi ya uhai wake.
Mbunifu Msaidizi na Mtangazaji wa Habari za Michezo wa
East Africa Radio Kenneth Kidago Lyanga amefariki dunia nyumbani kwake
Mwenge Mlalakua, Jijini Dar es Salaam.
Mipango ya mazishi ya Kenneth Lyanga inafanywa na familia yake.unatoa pole kwa familia ya marehemu Kenneth.Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu Kenneth Kidago Lyanga Mahala Pema Peponi, Amina.
Comments
Post a Comment