MITUSI MTANDAONI YAMPA UCHIZI SHILOLE
Zuwena Mohammed 'Shilole'.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Shilole alisema amesikitishwa
sana na kutukanwa na kuonesha kuwa amepata uchizi na kudai kuwa
atamshitaki Wema kwani ndiye anayeweza kuwazuia wapambe wake waache
kumshambulia.Wema akizungumzia ishu hiyo alisema, anamshangaa Shilole kwani wanaomtukana wala hawajui na kama ana mpango wa kumshitaki atapoteza muda wake bure.
MSANII Zuwena Mohammed 'Shilole' ameonekana kupata uchizi kufuatia matusi mazito aliyoporomoshewa mtandaoni baada ya kuweka picha ya baba wa Wema Sepetu na kuandika R.I.P baada ya kutundika picha hiyo kwenye ukurasa wake wa Instagram akitarajia kuungwa mkono na wadau, wengi walionekana kukerwa na kitendo hicho huku wakimuita mnafiki mkubwa pamoja na maneno mengine makali.
Comments
Post a Comment