JUMA KASEJA ATUA RASMI YANGA KWA MIL 40




 
Juma Kaseja baada ya kusaini mkataba wa kuichezea Yanga.
Kipa Juma Kaseja amesaini mkataba wa kuichezea Yanga rasmi, mkataba huo umesainiwa leo Ijumaa na ataanza kuitumikia timu hiyo katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Kaseja amesaini kwa dau la Sh milioni 40.

Comments

Popular posts from this blog

TUMIA SMS HIZI KUBORESHA PENZI LENU

NINI MAANA YA MAPENZI

FAIDA TISA ZA MBEGU ZA MABOGA KATIKA MWILI WA BINADAMU