FAHAMU MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA UPENDO UKAPUNGUA KWA MPENZI WAKO

 

1. UGOMVI WA KILA SIKU
Kwenye Ulimwengu Wa Mapenzi Hakuna Kitu Kibaya Kama Kutoweka Kwa Amani Kaa Ukijua Mapenzi Ni Matamu Na Yanaraha Iliyoambatana Na Furaha Hakuna Mtu Anaependa Kuishi Bila Ya Kuwa Na Furaha Hivyo Ikitokea Katika Mahusiano Wapenzi Hawapatani Na Kila Mmoja Wao Hataki Kukubali Kosa Wote Wanajiona Wapo Sahihi Halafu Mwisho Wa Siku Wanapatana Ghafla Bila Kuombana Msamaha Ni Wazi Kabisa Kosa Bado Litakuwa Halijarekebishwa Hivyo Ni Rahisi Kutokea Tena Ugomvi Na Ikitokea Kila Siku Penzi Lenu Linatawaliwa Na Ugomvi Nirahisi Penzi Kukosa Muelekeo Na Kila Mmoja Wenu Akahisi Hapati Amani Ya Pumziko La Moyo Kwa Mpenzi Wake Hivyo Mnaweza Kujikuta Upendo Unapungua Katika Penzi Lenu Na Matokeo Yake Moyo Wako Utakuwa Bado Haujapata Kimvuli Cha Burudani Za Mahaba Utajiwa Na Fikra Za Kutaka Kumtafuta Mpenzi Mwingine.


2. KUTOKUBALI HALI HALISI YA MPENZI WAKO:

Hii Ni Moja Kati Ya Sababu Kubwa Inayopunguza Mapenzi Kwa Kiasi Kikubwa, Walio Wengi Katika Mahusiano Siku Zote Hutegemea Faida Tu Kwa Upande Wake Pasipo Kumjali Mwenzake Zaidi Hili Hutawala Katika Upande Wa Kifedha, Unaweza Kumkuta Mtu Anampenda Mpenzi Wake Pindi Awapo Na Hela Na Kama Ikitokea Siku Mpenzi Wake Kakosa Hela Basi Inaweza Kutokea Hali Ambayo Si Yakawaida. Kikubwa Naomba Utambue Kuwa Mapenzi Sio Pesa Ila Pesa Ni Sehemu Moja Wapo Ya Mapenzi Ambayo Hutumika Katika Njia Ya Kuboresha Mapenzi Nachoweza Kukwambia Jaribu Kuwa Muelewa, Kubaliana Na Hali Halisi Ikitokea Unashida Ya Pesa Au Kitu Chochote Toka Kwa Mpenzi Wako Muombe Kama Anacho Atakupa Au Kukununulia Na Kama Hana Atakuambia Kwamfano: "Mpenzi Kwa Sasa Hali Yangu Iko Chini Kidogo Naomba Univumilie Kati Ya Hizi Siku 2 Nitakupa" Utakapo Ambiwa Hivi Kuwa Nasubira Mvumilie Ila Kama Hutojali Hali Ile Na Ukaenda Kinyume Na Maombi Yake Niwazi Kabisa Hisia Zake Zitamtuma Wewe Si Mkweli Kwake Na Nirahisi Kupunguza Upendo Kwako


3. KWENDA KINYUME NA HISIA / MATAKWA YA MPENZI WAKO:

Mpendwa Napenda Ufahamu Katika Mapenzi Kila Mmoja Huwa Na Tabia Yake Na Sheria Zake Katika Mapenzi Hivyo Ni Vizuri Mkiwa Kama Wapenzi Katika Mahusiano Yenu Muweze Kusomana Tabia Na Kila Mmoja Wenu Aweze Kutambua Mpenzi Wake Anapenda Nini Na Nini Hapendi Tukija Katika Upande Wa Sheria Pia Ni Vizuri Kama Kila Mmoja Wenu Aweze Kumueleza Mwinzie Vitu Anavyotaka Vifuatwe Katika Mahusiano. Mapenzi Yanaweza Kupungua Katika Hili Iwapo Kama Itatokea Kuna Mmoja Wapo Kati Yenu Anahitaji Afanyiwe Vitu Fulani Lakini Vinakuwa Havitekelezwi Kwa Mfano: Mpenzi Wako Anaweza Akakuomba Kushiriki Tendo La Ndoa Akiwa Na Hamu Anakwambia "Dear Leo Naham Nawewe Mpenzi Nahitaji Kulifurahia Penzi Lako Usiku Wa Leo" Unamjibu "Umeisha Anza Nawewe Mimi Sijisikii Bwana!". Kinapotokea Kitu Kama Hiki Ni Dhahiri Kwamba Umeshindwa Kumtimizia Mpenzi Wako Mahitaji Yake Ndipo Upendo Wake Kwako Utaanza Kupungua Hatima Yake Ataamua Kutafuta Mtu Mwingine Kwani Atahisi Kama Kwako Hapati Anavyovitaka.

Comments

Popular posts from this blog

TUMIA SMS HIZI KUBORESHA PENZI LENU

NINI MAANA YA MAPENZI

FAIDA TISA ZA MBEGU ZA MABOGA KATIKA MWILI WA BINADAMU