Ramos ashangazwa na uwezo wa Bale lakini anasema hawakutayarishwa juu ya ujio wake.
Gareth Bale akiwasili Istanbul akiwa na Real Madrid kuwakabili Galatasaray.
Galacticos
Iker Casillas
Legend: Assistant coach and Sporting Director Zinedine Zidane arrives in Istanbul ahead of the match at Ali Sami Yen Arena
Imeelezwa
kuwa Gareth Bale ameanza kumuogopesha mchezaji mwenzake ndani ya Real
Madrid Sergio Ramos ambaye pia amesema kuwa ndani y kikosi chao
ametayarishwa kama ambavyo mshambuliaji huyo wa zamani wa Tottenham
anavyo elekea.
Mchezaji
huyo ghali wa dunia alifunga goli katika mchezo wake wa kwanza tu
kuitumikia klabu yake mpya katika mchezo dhidi ya Villarreal ikiwa ni
siku chache tu zimepita baada ya kuihama White Hart Lane kwa uhamisho wa
pauni milioni £86.
Bale
pia amekuwa vizuri mazoezini ambapo amekuwa akiwaacha wachezaji wenzake
katika mshangao mkubwa kutokana na kipaji chake na ujanja wa kucheza
soka.
Kikosi
cha Real Madrid kimewasili Istanbul hii leo kikijiandaa na mchezo wa
hatua ya makundi dhidi ya Galatasaray ya Didier Drogba ukiwa ni mchezo
wa vilabu bingwa Ulaya hatua ya makundi hapo kesho.
Mlinzi Ramos amenukuliwa akimzungumzia mshambuliaji huyo wa kiimataifa wa Wells akisema
'Ni kweli Gareth Bale amekuwa ni mchezaji aliye hamia kwa dau kubwa majira ya kiangazi na tunafuraha tuko naye ,
'Ukweli ni kwamba hakuchezea timu ya England katika michuano ya mabingwa Ulaya hivyo hatukumjua zaidi.
'Tunajua
kwa jinsi kocha alivyokuwa akimtaka kwa nguvu kubwa kiasi kile lazima
atakuwa ni mchezaji mzuri lakini hakuna aliyetayarishwa kwa aina ya
upekee wake.
Bales akiupeleka mpira karibu na goli katika mchezo wa ligi dhidi Villarreal.
Bale sasa anacheza sambamba na Ronaldo.
'Tumekuwa
naye katika mazoezi mara chache lakini kwa yale tunayo yaona kutoka
kwake hatuamini, ni mwepesi, mjanja na kinachotuogopesha ni kwamba
kwamba hajawa mzima kwa mchezo kwa asilimia 100.'
Real
Madrid inaanza vita ya kutetea taji la ligi ya mabingwa Ulaya wiki hii ikiwa wanawania kwa mara ya 10 yaani 'Decima'
Na Ramos anaamini kuwa Carlo Ancelotti kwasasa ana kikosi kitakacho pelekea kutwaa taji.
Ronaldo amesaini mkataba utakao muweka Bernabeu kwa zaidi ya miaka mitano ijayo akikunja pauni £76.
Comments
Post a Comment