MASANJA MKANDAMIZAJI AMWAGA MACHOZI BAADA YA KUSINGIZIWA KUWA ANAUZA BANGI
Jana zilisambaa habari kwamba masanja mkandamizaji na msanii Diamond wamedakwa na polisi na possport zao za kusafiria zimezuiwa....
Taarifa hizo zimemfanya Masanja afunguke na kudai kwamba habari hizo si za kweli, ni habari zenye lengo la kumchafulia jina.
Masanja ameenda mbali zaidi na kudai kwamba yeye ni mtumishi wa mungu, yeye ni mjasiliamali na ni mkulima pia.
Mali alizonazo zinatokana na juhudi zake za kazi. TBC wanamlipa milioni 5 kwa mwezi.Stoo ana magunia ya mpunga zaidi ya 1000 na kila gunia linauzwa zaidi ya 200,000.
Comments
Post a Comment