VIJI MAMBO VYA KWENYE SIMU

Mrembo alipokea simu ngeni na mambo yalikuwa kama hivi:
Simu: Hellow una boy friend?
Mrembo: Ndio nine. Kwani we nani?
Simu: Mimi baba yako. Kumbe una boy friend ukirudi utanitambua. Simu ikakatika akiwa na mawazo nini afanye. Simu ikaita tena kwa namba ngeni.
Simu: Hello una boy friend?
Mrembo: Hapana sina!
Simu: Vipi mpenzi ina maana unanisaliti?
Mrembo: Hapana BABY nilijua baba!
Simu: Ni mimi baba yako nilitaka kuhakikisha tu kama kweli una boy friend. UTANIKOMA LEO

Comments