Posts

PLAY GIRL 1 FUATILIA KISA HIKI

"...Jamani mi sijui utaratibu wa  hapa., naomba mnirudishie tu  huo mkoba wangu.."  Nikiwa bado naendelea  kulalamika pale uwanja wa  ndege, mara akatokea mkaka  mmoja mweupe aliyevalia sare za  hawa wafanyakazi wa ndege..  "..embu niambie tatizo nini dada  mbona unalalamika.."  "..Leo ndio mara yangu ya  kwanza kupanda ndege na wakati  natoka Mwanza hawakunizuia  hivi, lakini nashangaa nimefika  hapa Dar eti wamezuia mkoba  wangu wanadai kuwa  hawaruhusu kusafiri na vipodozi  kwenye ndege.. Ni haki kweli  jamani..?"  "..dada unaitwa nani..?"

MPENZI WAKO NDIYE ADUI WAKO...

Image
MPENZI WAKO NDIYE ADUI YAKO IMEANDIKWA NA MLAWA,S.S MAPENZI Kila binadamu hupenda jambo fulani. Mapenzi ya mtu juu ya jambo yaweza kumvutia kiasi kwamba anaweza kupoteza welekeo wa maisha yake. Watu hupenda hadi kileleni. Hapa ndipo mtu aelewi hili wala lile. Hali hii si tu kwa vijana wanaoingia katika umri wa balehe bali hata kwa wale waliovuka umri huu. Kweli kila mtu anahaki ya kupenda. Na mapenzi haya yalianza pale binadamu walipoanza kuishi pamoja kama mke na mume kama vitabu vyetu vya dini vinavyoelekeza, ambavyo ni Biblia na Kuruhani.

JE WAJUA MADHARA YA KUPENDA KUPITA KIASI

ATHARI ZA KUPENDA KUPITA KIASI Ni vyema kujua mpenzi wako anakupenda kiasi gani. Na kila mtu ni siri yake mwenyewe kujua anampenda mwenzi wake kwa kiasi gani. Kumpenda mke au mme au mchumba wako ni jambo jema sana. Muonyesheshe namna upendavyo kwa maneno, pamoja na tabia yako.

NINI MAANA YA MAPENZI

MAPENZI Kila binadamu hupenda jambo fulani. Mapenzi ya mtu juu ya jambo yaweza kumvutia kiasi kwamba anaweza kupoteza welekeo wa maisha yake. Watu hupenda hadi kileleni. Hapa ndipo mtu aelewi hili wala lile. Hali hii si tu kwa vijana wanaoingia katika umri wa

VIDEO:IZZO BUSINESS WALALA HOI WAWEZA DOWNLOAD

Image
                                                 izzo business video ya walala hoi

LOVE STORY 4

AKIWA kwenye ziara yake ya kikazi, mara kwa mara Rais Martin alikuwa akipiga simu ikulu kuulizia maendeleo ya mkewe ambaye alimuacha akiwa na hali ya kutatanisha. “Mume wangu, naendelea vizuri ila nina habari njema kwako.” “Ooh afadhali mke wangu kama unaendelea vizuri, unataka kunipa habari gani?” aliuliza Rais Martin huku akionekana kuwa na shauku kubwa. “Wala usishtuke mume wangu kipenzi, mwenzio nime... nime...” alisema First Lady huyo lakini akashindwa kumalizia sentensi yake, akasikika akicheka kwa furaha, jambo lililozidi kumuweka Rais Martin njia panda. “Unaniweka roho juu mke wangu, tafadhali niambie,” alisema Rais Martin huku akionesha dhahiri kuwa na shauku kubwa ndani ya moyo wake, mke wake akamwambia jambo ambalo lilimshtua na kumfurahisha mno

LOVE STORY 3

Ebola, ugonjwa usio na tiba wala kinga umeikumba nchi ya Liberia na kusababisha maafa makubwa kwa wananchi wake. Watu wengi wanaambukizwa ugonjwa huo na ndani ya muda mfupi tu, mamia ya wananchi wanapoteza maisha. Hali ya hatari inatangazwa nchi nzima ambapo maeneo yaliyoathirika zaidi yanawekwa chini ya karantini maalum, watu wakizuiwa kuingia au kutoka bila kuwa na sababu maalum. Licha ya serikali iliyokuwa inaongozwa na rais mwanamke, mwanamama shupavu mwenye moyo wa kipekee,  Hellen Joseph, kujitahidi kwa kadiri ya uwezo wake kupambana na ugonjwa huo, kazi inakuwa ngumu na maelfu ya watu wanaendelea kupoteza maisha na kuambukizwa ugonjwa huo hatari. Hali inazidi kuwa tete kadiri siku zinavyozidi kusonga mbele, maiti nyingi za watu waliokufa kwa ugonjwa huo zinatapakaa mitaani huku maelfu ya wakazi wakiyakimbia makazi yao wakiogopa kuambukizwa ugonjwa huo hatari. Jiji la Monrovia linabaki kuwa kimya kabisa huku harufu za maiti zikizidi kuifanya hali kuwa ya kut...