Stori: Gladness Mallya IKIWA imetimia mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu kifo cha mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’, staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma, Jumamosi iliyopita amedaiwa kufanya jaribio la kutaka kujiua kwa kunywa sumu, Risasi Mchanganyiko limefuatilia tukio hilo hatua kwa hatua
Libya mabingwa wa CHAN 2014 Libya imepata ushindi wake wa kwanza wa kombe la taifa bingwa Afrika kwa mikwaju ya penalti 4-3 dhidi ya Ghana mjini Cape Town Afrika Kusini. Mechi ya fainali kati ya nchi hizo mbili ilikamilika kwa sare tasa kabla ya Joshua Tijani wa Ghana kukosa bao la penalti na kuipa Libya ushindi wake.
Arsenal, Chelsea na Liverpool wanaweza kutumia kipengele kidogo kwenye sheria ya "financial fair play' ya UEFA ili kuibania Manchester City haki ya kucheza katika mashindano ya Champions league msimu ujao. Kuna kanuni za kisheria zinazowapa wapinzani haki ya kuwashtaki City kwamba wamekiuka sheria na kushindwa kufuata sheria ya ya UEFA ya ‘Financial Fair Play’ (FFP).
23:12 GMT Facebook Twitter Google+ Tuma kwa rafiki yako Chapisha Mshambulizi Sergio Aguero wa Man City Klabu ya Manchester City imechupa hadi kileleni mwa ligi kuu ya soka nchini England baana ya kuonesha soka safi dhidi ya klabu ya Tottenham katika uga wa White Hart Lane. Kikosi cha kocha Manuel Pellegrini kilihitaji ushindi dhidi ya Spurs ili kuwapiku Arsenal kwenye jedwali
Mayasa Mariwata na Shani Ramadhan MSANII mkongwe wa muziki wa dansi Bongo, Muhidini Gurumo ambaye kwa sasa amestaafu, amefungukia skendo ya kuwa na mademu wengi inayomuandama Nasibu Abdul ‘Diamond’. Nasibu Abdul ‘Diamond’. Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni maeneo ya Ilala jijini Dar, Mzee Gurumo
Marehemu Kenneth Kidago Lyanga enzi ya uhai wake. Mbunifu Msaidizi na Mtangazaji wa Habari za Michezo wa East Africa Radio Kenneth Kidago Lyanga amefariki dunia nyumbani kwake Mwenge Mlalakua, Jijini Dar es Salaam