Posts

Mexico ease into World Cup after 9-3 aggregate win over New Zealand

Image
Mexico swept aside New Zealand to make it through to the World Cup Mexico breezed into the World Cup finals despite some brief resistance from New Zealand as they claimed a 4-2 win in the second leg of their qualifying tie in Wellington, cruising through 9-3 on aggregate. The All Whites went into the match 5-1 down after a jarring evening at the Azteca last week, and their leaky defence again ensured they had no chance of boarding a flight to Brazil next summer. Mexico eased to a 3-0 lead in 33 minutes with a first-half hat-trick from striker Oribe Peralta before New Zealand hit back with two goals in three minutes, firstly when Christian James scored from the penalty spot before Rory Fallon claimed their second.

Ghana , Algeria zafuzu Kombe la Dunia

Image
Asamoah Gyan mshambuliaji wa Ghana Ghana na Algeria jumanne zimeungana na timu za Nigeria, Ivory Coast na Cameroon kukamilisha nchi tano zitakazowakilisha bara la Afrika katika fainali za kombe la dunia nchini Brazil mwaka 2014. Ghana wakicheza ugenini dhidi ya Misri pamoja na kufungwa magoli 2 - 1 walifanikiwa kufuzu kucheza fainali za kombe la dunia kwa vile katika mechi ya awali Ghana iliifunga Misri magoli

UWANJA WA KUMBUKUMBU YA SOKOINE JIJINI MBEYA UMEFUNGIWA.

Image
                          uwanja wa kumbukumbu ya sokoine jijini mbeya   Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPL Board) imefungia viwanja saba vilivyokuwa vikitumiwa na timu za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) na Ligi Daraja la Kwanza (FDL) hadi vitakapofanyiwa marekebisho ili kukidhi mahitaji ya mechi za mpira wa miguu. Uamuzi huo umefikiwa na TPL Board katika kikao chake cha kwanza kilichofanyika juzi (Novemba 10 mwaka huu) jijini Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine kilipitia ripoti za mechi za VPL na FDL katika mzunguko wa kwanza.

Unajua athari za kuitana sweet, dear, baby...?

Image
BABY ni neno la Kiingereza lenye maana ya mtoto, tena mara nyingi linatumika kwa mtoto mdogo. Pia lina maana nyingine ya mpenzi. Ni neno maarufu sana siku hizi; hata wazee kabisa, utasikia wanaitana baby! Mbali na hilo, yapo maneno mengine kama sweet, dear, honey na mengine mengi. Maneno yote hayo ya Kiingereza, yana maana zaidi ya moja, lakini kubwa zaidi ni kumaanisha mpenzi, mpendwa (hutumika katika kuonesha mapenzi ya dhati kwa mwingine). Leo nataka kukupa kitu kipya kabisa kichwani mwako. Unahitaji utulivu wa hali ya juu ili kujifunza hili. Ni maneno mazuri sana, ya kipekee lakini kwa upande mwingine ni hatari kwa sababu hukaribisha matatizo ambayo hayakutarajiwa na mtumiaji

Watu watano wakamatwa

Image
Meno ya Tembo yaliyokamatwa Zanzibar Polisi nchini Tanzania wamesema shehena ya Pembe za Tembo zilizokamatwa katika bandari ya Zanzibar ni sawa na Tembo mia tatu na watano, zikiwa na thamani ya karibu shilingi bilioni nane, sawa na karibu dola milioni tano za Kimarekani. Watu wawili wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuhusika na pembe hizo, huku maafisa wawili wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, TRA, na mmoja wa Mamlaka ya Bandari pia wamekamatwa kuhusiana na tukio hilo.

NANI MWANASOKA BORA ZAIDI AFRIKA?

Image
Fursa ni yako kumchangua mwanasoka unayedhani ni nyota zaidi barani Afrika kati ya hawa watano Majina ya wanaowania taji la BBC la mchezaji bora zaidi barani Afrika mwaka wa 2013 yametangazwa rasmi hii leo kupitia kipindi cha kiswahili cha Amka na BBC

SHILOLE, MASHABIKI WANATAKA UCHEZE UCHI?!!

Image
Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa stejini. NCHI yetu imejaaliwa kuwa na vijana wengi wenye vipaji karibu katika kila nyanja. Wapo waliojaaliwa kupewa na hawajui kuvitumia pasipo mwongozo, lakini wengine wanajua kuvitumia na kujiongoza