Posts

WAWEZA KUDOWNLOAD NA KUTAZAMA VIDEO YA PINK -TRY NICE SONG

Image
Pink-try...

Vikosi vya Kenya 'vimedhibiti' Westgate

Image
Moshi mkubwa ulioonekana ukifuka kutoka katika jengo la Westgate Jumatatu jioni Hatimaye vikosi vya usalama nchini Kenya vinasema vimelidhibiti jengo zima la Westgate mjini Nairobi, ikiwa ni zaidi ya siku tatu baada ya jengo hilo kuvamiwa na wanamgambo. Milipuko ikifuatiwa na milio ya risasi imesikika kutoka ndani ya jengo hilo asubuhi ya leo huku duru zikisema kuwa vikosi vya usalama vinaelekea kukamilisha operesheni hiyo.

WACHEZAJI WALIOMCHONGEA KUFUTWA DI CANIO

Image
Kocha Di Canio Inaarifiwa wachezaji wa Sunderland walilalamika kwa mkurugenzi mkuu wa klabu hiyo Margaret Byrne kuhusu kocha Paolo Di Canio kabla ya kupigwa kalamu. Di Canio aliitisha mkutano wa timu nzima siku ya Jumapili ambao inasemekana ulikumbwa na majibizano makali kufuatia timu hiyo kushindwa mabao 3-0 na West Bromwich Albion...

UEFA yaomba kusubiri

Image
  Wakuu wa soka barani Ulaya wameshindwa kuafikiana juu ya mjadala kuhusu kama fainali ya Kombe la Dunia ya mwaka 2022 iahirishwe kutoka majira ya joto hadi majira ya baridi nchini Qatar. Michel Platini Ingawa wanachama 54 wa UEFA hapo jana waliunga mkono mabadiliko yanayotishia kuvuriga ratiba ya msimu mzima wa soka barani Ulaya, chombo cha washauri wake wa sera kimekataa kukubali lolote kabla ya mashauriano ya kina na FIFA....

Mwombeki: Nikichezeshwa na Henry Joseph ni balaa

Image
  STRAIKA wa Simba, Betram Mwombeki ametamka kwamba kiungo Henry Joseph Shindika ni bonge la mchezaji na tangu aanze kuichezea Simba iwe kwenye ligi au mazoezi amegundua vitu vingi kwake...

Gazeti la AMANI laanika kila kitu kuhusu fumanizi la JOHARI kwa Ray na Chuchu Hans pamoja na ngumi zilivyopigwa

Image
Juzi  tuliandikia  habari  fupi  kuhusu  ugomvi  wa  Johari  na  Chuchu Hans  ambao  walikuwa wakigombania  penzi  la Ray.. Katika  habari  hiyo, tuliahidi  kuifuatilia  taarifa  hiyo  kwa  kina  zaidi. Bahati  nzuri  gazeti  la  AMANI  limemaliza  kila  kitu . Hii  ni  ripoti  yake. Waigizaji wenye majina makubwa Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ na Chuchu Hans wanadaiwa kuchapana kisa kikidaiwa kuwa ni penzi la mwigizaji ‘kaka mkubwa’, Vincent Kigosi ‘Ray’. ....

MCHAWI` MESSI AJIBU MAPIGO YA RONALDO, APIGA MATATU KATIKA USHINDI WA 4-0 NA AJAX, MILANI YAIFUMUA CELTIC 2-0, MUNTARI AUA!!

Image
AMEJIBU; Lionel Messi amejibu mapigo ya mpinzani wake, Cristiano Ronaldo wa Real Madrid baada ya kuifungia hat-trick Barcelona katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Ajax katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya, Uwanja wa Nou Camp. Muargentina huyo pamoja na kufunga mabao matatu peke yake usiku, pia alitengeneza bao la nne lililofungwa na Gerard Pique. Haikuwa bahati yao, Ajax kwani walikosa hadi penalti baada ya kipa Victor Valdes kuokoa mkwaju wa Kolbeinn Sigthorsson. Messi alifunga mabao yake katika dakika za 22, 55 na 75, wakati Pique alifunga dakika ya 69. Kikosi cha Barcelona kilikuwa: Valdes, Alves, Pique/Bartra dk80, Mascherano, Adriano, Busquets, Fabregas/Xavi dk72, Iniesta, Sanchez, Messi, Neymar /Pedro dk72. Ajax: Vermeer, van Rhijn, Denswil, Moisander/van der Hoorn dk73, Blind/Schone dk78, Poulsen, de Jong/Serero dk59, Duarte, Bojan, Sigthorsson na Boilesen. ...