UHABA WA WAOWAJI:WANAWAKE 'SINGLE' ELFU 8 WA NIGERIA WAANDAMANA KUSHINKIZA SERIKALI IWA SAIDIE WAOLEWE



 Nigeria ladiesAmini usiamini kuwa nigeria ina upungufu wa wanaume kuoa!kiasi kwamba wanawake wanaotamani kupata wenza wakutengeneza familia wameamua kuchukua hatua.zaidi ya wanawake elfu 8 walio single jana wameandamana kutokana  kutokana na upungufu wanaume wa kuwaoa.
Lengo ya maandamano ayo
kushinikiza serikali kuwasaidia waolewe ,kivipi ndo swali nimejiuliza hata mimi....?
Wanawake waliojikusanya kwa jili ya kuandamana ni mkusanyiko wa 5380 waliopewa talaka,2200 ni wajane,1200 ni ya tima,na 80 wengine.wanawake hao wamedai kuwa hawana uwezo hata uwezo wa kununua  chakula hata cha siku kwa sababu hawana waume wa kuwasaidia ndio maana wanaitaji wanaume wa kuwaowa na kuwasaidia mahitaji yao

Comments

Popular posts from this blog

TUMIA SMS HIZI KUBORESHA PENZI LENU

NINI MAANA YA MAPENZI

FAIDA TISA ZA MBEGU ZA MABOGA KATIKA MWILI WA BINADAMU