MAMA KANUMBA ATOA ONYO ZITO
MAMA wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa ametoa onyo kali kwa watu wanaotumia jina la mwanaye huyo kuuza filamu zao.
“Jamani kampuni ya Kanumba haina tawi Shinyanga kama filamu hiyo
inayosambazwa huko bali hiyo imechezwa na watu ambao hawatambuliki
katika kampuni ya marehemu mwanangu,” alisema Mama Kanumba.
Comments
Post a Comment