KIHOJA KATIKA KUFURAHIA HAPPYBIRTHDAY YA SAMWEL MLAWA KWA HAWA VIUMBE WA MAJINI KUMWIMBIA NYIMBO YA HAPPY BIRTHDAY



Penguin-Happy Birthday http://samwelmlwa.blogspot.com
        Nakushukuru mungu kwa siku hii ya kunifanya kuwa hai na mwenye afya tele na kunipigania na kila jambo,kuniongoza kwenye njia iliyosahihi

   Leo nnfauraha  sana kwa kuazimisha siku yangu ya kuzaliwa ambayo ni tar 14/10/
  Pia siku ya tar 14/10 na mpongeza Mama aangu mzazi kwanifanya niwe diniani najivunia kuwa na mama bora"I LUV MAMA
Kwa hii tar 14/10 ndio mama yangu kupokea wokovu kwa miaka iliopita tisa,Kwa kweli ni siku iliyo ya furaha sana maishani mwangu....!

Comments

Popular posts from this blog

TUMIA SMS HIZI KUBORESHA PENZI LENU

NINI MAANA YA MAPENZI

FAIDA TISA ZA MBEGU ZA MABOGA KATIKA MWILI WA BINADAMU