UCHAGUZI WA KIDATO CHA TANO 2013 AWAMU YA PILI KWA WANAFUNZI WALIOHITIMU KIDATO CHA NNE MWAKA 2012



UCHAGUZI WA KIDATO CHA TANO 2013 AWAMU YA PILI KWA WANAFUNZI WALIOHITIMU KIDATO CHA NNE MWAKA 2012
Ifuatayo ni orodha ya wanafunzi 1171 wakiwemo wavulana 884 na wasichana 287 waliochachaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano mwaka 2013 awamu ya pili. Wanafunzi hawa wanatakiwa kuripoti kwenye shule walizo pangwa mara baada ya kuona majina yao kwenye mtandao. Wahakikishe kwamba wanaenda na vyeti vya matokeo yao (result slip) na cheti cha kuhitimu Kidato cha Nne (Leaving Certificate).

Comments

Popular posts from this blog

TUMIA SMS HIZI KUBORESHA PENZI LENU

NINI MAANA YA MAPENZI

FAIDA TISA ZA MBEGU ZA MABOGA KATIKA MWILI WA BINADAMU