MULUGO AMEAHIDI KITITA CHA SH. MILIONI MBILI IWAPO TIMU YA MBEYA CITY ITAISHINDA TIMU YA YANGA LEO JIJINI MBEYA


Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Songwe mkoani Mbeya ameahidi kitita cha sh. milioni mbili iwapo timu ya Mbeya City itaishinda timu ya Yanga ya Jijini Dar es salaam.




Waziri Mulugo akizungumza na waandishi wa habari jijini Mbeya amesema atahakikisha kuwa....
kila timu itakayotia mguu mbeya inaondoka na kipigo cha magoli

Wachezazi wa Mbeya city

Mashabiki wa Mbeya city

Timu ya yanga katika kiwanja cha iyunga sekondari

Comments

Popular posts from this blog

TUMIA SMS HIZI KUBORESHA PENZI LENU

FAIDA TISA ZA MBEGU ZA MABOGA KATIKA MWILI WA BINADAMU

NINI MAANA YA MAPENZI