DIAMOND ATUHUMIWA KUIBA WIMBO WA DYNA..."MY NUMBER ONE"


 Baada ya tuhuma za kuiba wimbo wa H.Baba na Pasha,Msanii Naseeb Abdul Diamond Platnum, ameingia tena ndani ya tuhuma nzito  baada ya  madai   kwamba wimbo anaotaka kuuachia wa No.1 ni wa Dayna.

Inasemekana awali Dayna alimtaka Diamond wakafanye wimbo kwa Shedy, Diamond akakubali, akaskiliza mdundo na kumuahidi Dayna kwamba wangefanya wote.

Lakini baadae Diamond akamrubuni Shedy na kumwambia ile bit ampe na aachane na kazi ya Dayna. Hii ni demo ya wimbo wa Dayna ambao unafanana kila kitu na wimbo wa Diamond ambao ameuachia sasa...dayna anadaikuwa diamond amemzunguka"ukickiliza beat"ambalo nilitakiwa kufanyanae kazi

Comments

Popular posts from this blog

TUMIA SMS HIZI KUBORESHA PENZI LENU

NINI MAANA YA MAPENZI

FAIDA TISA ZA MBEGU ZA MABOGA KATIKA MWILI WA BINADAMU