Star Michael Scolfield (Wentworth Miller) Atangaza kuwa yeye ni shoga

wentworth_miller




Star huyu mwenye miaka 41aliejipatia umaarufu kupitia tamthilia ya Prison breaka hapo jana alitangaza kuwa yeye ni shoga, kwa mujibu wa website moja, Michael aliweka wazi baada ya kukataa mualiko wa tamasha la filamu la St. Petersburg nchini Urusi kwa kile alichodai mashoga wanadharauliwa na hawatendewi haki nchini Urusi.

Comments

Popular posts from this blog

TUMIA SMS HIZI KUBORESHA PENZI LENU

NINI MAANA YA MAPENZI

FAIDA TISA ZA MBEGU ZA MABOGA KATIKA MWILI WA BINADAMU