RAY C AMUA KUMPOKEA BWANA KUWA MWOKOZI WA MAISHA YAKE RASMI,BAADA YA KUBATIZWA
rayc1982Nimebatizwa
Rasmi Leo kanisa la Siloam...Shika neno tenda neno,Shetani huna nafasi
tena kwenye Maisha yangu,nimepewa ruksa na Mwenyez Mungu nikukanyage
kanyage Usinizoee!!!!Ameeeen!
Comments
Post a Comment