DUDE KUIGIZA KAMA YAHAYA KATIKA VIDEO MPYA YA LADY JAYDEE
Msanii
wa bongo movie anajulikana kwa jina la DUDE yeye ndie atakayecheza pati
ya YAHAYA katika video mpya ya mwanadada LADY JAYDEE. Video hii imeanza
kushutiwa leo(jana) jioni, kaa tayari kwa kumuona Dude akiwa kama
Yahaya.najinsi alivyo weza kucheza kipengele icho ameweza kuonyesha kipaji chake kwa kumpa lady jaydee kampani katika kuuaanda video ya yahaya ambayo audio yake ina wika ivi mtaani na vyombo mbalimbali...
Comments
Post a Comment